Ni Mtoto wa Msanii wa Tanzania, Joh Makini anayeitwa King John Mseke mwenye umri wa miaka tisa (9) na anasoma darasa la tano (5), ameenda Nchini England kwenye "Academy" ya klabu ya Manchester City kupata mafunzo ya wiki mbili (2) kisha atafanyiwa vipimo vya uwezo wake wa kimpira wa miguu.

·74 Views