Upgrade to Pro

Msanii Mkongwe Wakazi ameshutumu Baba Levo wizi.

"BABA LEVO NI MWIZI

Wanasema unaweza mtoa mtu uswahilini, ila huwezi utoa uswahili ulio ndani yake!! Ndio haya

Baba Levo kaenda Marekani, watu wamemkaribisha na kumuonyesha hospitality, wamemzungusha na kuhakikisha anapata a great experience, wakampa vitu vyao awaletee ndugu na jamaa zao Tanzania, jamaa akaviiba akidai vimeibiwa. Shameful

iPhones na iPad za Mussa wa New York… Baba Levo rudisha!! Alafu alivyo mjinga anasema vimeibiwa Uturuki. Kweli Shule Muhimu… IMEI Number za vitu zinasoma ziko Bongo alafu yeye anadai vimeibiwa Uturuki. Smh

Ina maana Wasafi hawakulipi vizuri hadi unaamua kuwa na tamaa na wizi wa kijinga hivyo, tena kwa watu waliokusaidia?! Ujue ulivyomdhihaki @officialshilole na mambo ya kupika, Shishi alinipigia simu na ku-mind sana, ila nikasita maana sikutaka kuingilia sana issue zako ila sasa umefanya jambo la aibu sana lazima tuseme! Sio tu huna fadhila (kwa kina Shishi) bali ni mshenzi wa tabia na mwizi.

@silent_ocean_ltd (Simba Wa Bahari) na makampuni mengine mnayo wapa ubalozi hawa watu, muwe mnaangalia na integrity zao pia sio umaarufu tu; kuna baadhi ya wateja mtawafukuza for having people with suspect image in certain communities. Au wabaki mabalozi huko africa sio huku… (Wako kina Roma, Mr Beneficial, Young Dee, Mabeste na Izzo Bidness… they can do the job)

Eri “nimeacha begi airport, wameiba simu”. Ulaya uache begi unattended alafu mtu aje kulipekua na kuimba vitu vya watu tu? Airport gani, hii hi Ataturk ya Istanbul au kuna mpya? Uongo wa Kitoto… bora hata ungesema uli check in!! smh Jizi jizi jizi !!! Na vitakutokea hiyo pua yako kama ngumu ya Twaha Kiduku. #IHateThieves #RudishaVituVyaWatu " ameandika Wakazi.
Msanii Mkongwe Wakazi ameshutumu Baba Levo wizi. "BABA LEVO NI MWIZI Wanasema unaweza mtoa mtu uswahilini, ila huwezi utoa uswahili ulio ndani yake!! Ndio haya Baba Levo kaenda Marekani, watu wamemkaribisha na kumuonyesha hospitality, wamemzungusha na kuhakikisha anapata a great experience, wakampa vitu vyao awaletee ndugu na jamaa zao Tanzania, jamaa akaviiba akidai vimeibiwa. Shameful iPhones na iPad za Mussa wa New York… Baba Levo rudisha!! Alafu alivyo mjinga anasema vimeibiwa Uturuki. Kweli Shule Muhimu… IMEI Number za vitu zinasoma ziko Bongo alafu yeye anadai vimeibiwa Uturuki. Smh Ina maana Wasafi hawakulipi vizuri hadi unaamua kuwa na tamaa na wizi wa kijinga hivyo, tena kwa watu waliokusaidia?! Ujue ulivyomdhihaki @officialshilole na mambo ya kupika, Shishi alinipigia simu na ku-mind sana, ila nikasita maana sikutaka kuingilia sana issue zako ila sasa umefanya jambo la aibu sana lazima tuseme! Sio tu huna fadhila (kwa kina Shishi) bali ni mshenzi wa tabia na mwizi. @silent_ocean_ltd (Simba Wa Bahari) na makampuni mengine mnayo wapa ubalozi hawa watu, muwe mnaangalia na integrity zao pia sio umaarufu tu; kuna baadhi ya wateja mtawafukuza for having people with suspect image in certain communities. Au wabaki mabalozi huko africa sio huku… (Wako kina Roma, Mr Beneficial, Young Dee, Mabeste na Izzo Bidness… they can do the job) Eri “nimeacha begi airport, wameiba simu”. Ulaya uache begi unattended alafu mtu aje kulipekua na kuimba vitu vya watu tu? Airport gani, hii hi Ataturk ya Istanbul au kuna mpya? Uongo wa Kitoto… bora hata ungesema uli check in!! smh Jizi jizi jizi !!! Na vitakutokea hiyo pua yako kama ngumu ya Twaha Kiduku. #IHateThieves #RudishaVituVyaWatu " ameandika Wakazi.
Haha
1
·246 Views