Passa a Pro

Uchambuzi wa Georgea Ambangile.

Yanga walianza mechi wakionesha dhamira ya kuutaka mchezo

1: Kasi
2: Kupasia mpira kwa umakini na haraka
3: Movements nyingi nzuri
4: Wanashinda mipambano yao
5: Na wakipoteza mpira haraka sana wanaweka presha kwenye mpira .
6: Kushambulia na idadi nzuri ya wachezaji mbele

Nafikiri Pacome na Mzize wingplay yao ilihitaji fullbacks ambao wapo tayari kusogea juu ( Yao na Kibwana ) ili kushambulia na mpira tena maeneo sahihi : Yao na Kibwana wana overlaps haraka sana kufanya Pacome + Mzize kudribble ndani zaidi dhidi ya fullbacks , kitu ambacho kilifungua spaces pembeni ya uwanja kwa fullbacks wao ( Good wingplay )

Ujasiri wa viungo watatu ( Dunia ,Balama na Mgandila ) kupokea mpira eneo lolote na wakati wowote iliwasaidia kupunguza ukali wa pressing ya Yanga , walianza kutoka nyuma na kupasi vizuri katikati ya mistari ya Yanga ( Playing through the lines ) , na kuwafanya Yanga kuanza kuzuia kwa katikati zaidi badala ya juu .

Nafikiri kitu ambacho kocha Baresi alitamani kifanyike na vijana wake ni kuwa na uthubutu wa kuongeza idadi ya wachezaji kwenda mbele , kulikuwa na spaces nyuma ya kiungo cha Yanga , ambayo ilihitaji wingi wa wachezaji maeneo hayo .

Ramovic ali react vizuri , kutumia viungo watatu dakika kama 25 za mwisho ( Aucho , Muda na Abuya ) ni kupunguza / kuondoa nia ya Mashujaa kucheza ndani zaidi : Ramovic akafanya iwe 3v3 ... uzuri kwake ni Abuya na Mudathir wanaweza kusogea juu na kurudi kuzuia .

NOTE

1:Kibwana kacheza mechi nzuri , kiulinzi na kwenda mbele

2:Kiungo cha Mashujaa kinacheza

3: Aucho atakuwa anawafikirisha sana Yanga kuhusu mbadala wake wa muda mrefu

4: Khomeny lile kosa aisee

5: Uromi spanshot . Kapiga haraka tena chini mbali

6: Pacome akiwa na mpira unaona kitu kinaenda kutokea

7: PRINCE DUBE ... Hat trick hero .! Confidence ya mshambuliaji inapatikana na magoli . ⚽️⚽️⚽️

FT: Yanga SC 3-2 Mashujaa FC

Uchambuzi wa Georgea Ambangile. Yanga walianza mechi wakionesha dhamira ya kuutaka mchezo 1: Kasi 2: Kupasia mpira kwa umakini na haraka 3: Movements nyingi nzuri 4: Wanashinda mipambano yao 5: Na wakipoteza mpira haraka sana wanaweka presha kwenye mpira . 6: Kushambulia na idadi nzuri ya wachezaji mbele Nafikiri Pacome na Mzize wingplay yao ilihitaji fullbacks ambao wapo tayari kusogea juu ( Yao na Kibwana ) ili kushambulia na mpira tena maeneo sahihi : Yao na Kibwana wana overlaps haraka sana kufanya Pacome + Mzize kudribble ndani zaidi dhidi ya fullbacks , kitu ambacho kilifungua spaces pembeni ya uwanja kwa fullbacks wao ( Good wingplay ) Ujasiri wa viungo watatu ( Dunia ,Balama na Mgandila ) kupokea mpira eneo lolote na wakati wowote iliwasaidia kupunguza ukali wa pressing ya Yanga , walianza kutoka nyuma na kupasi vizuri katikati ya mistari ya Yanga ( Playing through the lines ) , na kuwafanya Yanga kuanza kuzuia kwa katikati zaidi badala ya juu . Nafikiri kitu ambacho kocha Baresi alitamani kifanyike na vijana wake ni kuwa na uthubutu wa kuongeza idadi ya wachezaji kwenda mbele , kulikuwa na spaces nyuma ya kiungo cha Yanga , ambayo ilihitaji wingi wa wachezaji maeneo hayo . Ramovic ali react vizuri , kutumia viungo watatu dakika kama 25 za mwisho ( Aucho , Muda na Abuya ) ni kupunguza / kuondoa nia ya Mashujaa kucheza ndani zaidi : Ramovic akafanya iwe 3v3 ... uzuri kwake ni Abuya na Mudathir wanaweza kusogea juu na kurudi kuzuia . NOTE 1:Kibwana kacheza mechi nzuri , kiulinzi na kwenda mbele 2:Kiungo cha Mashujaa 🔥 kinacheza 3: Aucho atakuwa anawafikirisha sana Yanga kuhusu mbadala wake wa muda mrefu 4: Khomeny lile kosa aisee 🤔 5: Uromi spanshot . Kapiga haraka tena chini mbali 🔥 6: Pacome akiwa na mpira unaona kitu kinaenda kutokea 7: PRINCE DUBE ... Hat trick hero .! Confidence ya mshambuliaji inapatikana na magoli . ⚽️⚽️⚽️🔥 FT: Yanga SC 3-2 Mashujaa FC
·114 Views