JE UNAJUA?
Picha inaonesha Mwaka 1972, Dar es Salaam Rais Jaffery Nimeiry wa Sudan akikagua wachezaji wa Taifa Stars waliokuwa vifua wazi. Kapten Abrahaman Juma akimtambulisha kwa Omary Zimbwe, Mohamed Chuma, Kitwana Manara na Abdalla KIbadeni. Rais J. K. Nyerere alikuwa Jukwaa Kuu.
Inasemekana, Jezi za Taifa Stars zilikuwa zimepelekwa kwa Mganga wa Kienyeji ili ishinde siku ya mechi. Meneja wa Taifa Stars alizifuata lakini bahati mbaya hakumkuta Mganga nyumbani kwake,
Kwakuwa alikwenda na basi la timu, ilibidi wachezaji waende uwanja wa Taifa kwa miguu toka Hosteli ya Jeshi la Wokovu, Kurasini. Meneja wa taifa stars alikuwa ni Chambanga H. Dyamwale mnamo 1972.
Kutokana na fedheha hiyo kubwa, inasemekana Rais Nyerere alisusa kukanyaga tena mpirani mpka kufa kwake.

·153 Views