Upgrade to Pro

Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu;

- Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili
- Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili

Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu;

1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1;

- mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni

- Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage

- Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo

- Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu

2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa;

- Ufanisi wa pasi
- Combinations play
- Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks

Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya;

- Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora
- Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora

Set Plays siri kuu ni;

- Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls)
- Wapigaji wazuri

NOTE

1: Dube magoli yanakuja na assist pia

2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana

3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele

4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo

5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi

6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake

FT: Yanga 4-0 Prisons

๐Ÿ‘‰ Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu; - Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili - Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili ๐Ÿ‘‰ Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu; 1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1; - mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni - Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage - Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo - Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu 2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa; - Ufanisi wa pasi - Combinations play - Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks ๐Ÿ‘‰ Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya; - Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora - Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora ๐Ÿ‘‰ Set Plays siri kuu ni; - Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls) - Wapigaji wazuri NOTE 1: Dube magoli yanakuja na assist pia ๐Ÿ”ฅ 2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana 3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele 4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo 5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi 6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake FT: Yanga 4-0 Prisons
ยท204 Views