Upgrade to Pro

.Ni Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake

TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6
NYATI = USD 1,900~ mil 4.3
SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3
CHUI = USD 3,500~ mil 8
TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6
FISI = USD 550~ mil 1.2
NGIRI = USD 450~ mil 1
NYANI = USD 110~ laki 254
PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7
SWALA = USD 390~ laki 9
ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000
ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/=
.
.
Ni muhimu kuwa na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi *Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.*

Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipa baada ya kumgonga ...
.Ni Muhimu kufahamu ukigonga mnyama mbugani faini zake TEMBO = USD 15,000 ~ mil 34.6 NYATI = USD 1,900~ mil 4.3 SIMBA = USD 4,900~ mil 11.3 CHUI = USD 3,500~ mil 8 TWIGA = USD 15,000~ mil 34.6 FISI = USD 550~ mil 1.2 NGIRI = USD 450~ mil 1 NYANI = USD 110~ laki 254 PUNDAMILIA = USD 1200~mil 2.7 SWALA = USD 390~ laki 9 ukipata ajali ndani ya mbuga Tsh 200,000 ukizidisha mwendo faini yake ni Tsh . 30,000/= . . Ni muhimu kuwa na tahadhari uingiapo au upitapo mbuga nyingi *Day speed ni 70km/h na Night speed ni 50km/h.* Kwa wale mnaommchukulia poa Fisi Angalia pesa utakayolipa baada ya kumgonga ...
Like
Love
4
1 Comments ·203 Views