.Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

·68 Views