Upgrade to Pro

Haji Manara aomba radhi kwa Jeshi la Polisi la Magereza baada ya Haji kumfokea na kumkejeli (na kumdharau) mmoja wa Askari wake baada ya mchezo wa klabu ya Yanga SC dhidi ya klabu ya Tanzania Prisons. Haji Manara alitaka kufanya mahojiano na Waandishi wa habari lakini Askari huyo wa Magereza akamtata Haji Manara asifanye mahojiano hayo sehemu ambayo alitaka kufanya kwa sababu ilikuwa sio mahali sahihi kwa ajili ya kufanya mahojiano.

Mara baada ya Askari huyo kumkata Haji Manara asifanye mahojiano eneo lile, Haji aligoma na kutoa maneno yasiofaa kwa Askari huyo huku akimvimbua na kumwambia kuwa yeye ni Askari Magereza tu, hawezi kumfanya chochote kile.

"Kwa heshma na Unyenyekevu mkubwa naomba nirudie tena kwa maandishi kuliomba radhi Jeshi la Magereza,Askari na Wote waliotharika na Sakata la Juzi,,,
Hakuna Maneno yanayotosha kuzidi neno samahani,ukizingatia hapo awali tulikuwa tunaongea maneno ya kishabiki,,,
Heshma yangu kwa Taasisi hii na nyingine za Dola haiwezi kuwa na mbadala wa kuomba sana Taaaisi hii muhimu Radhi kwa Viongozi wa Jeshi na Askari wake wote,,

Asanteni sana " - Haji Manara, Shabiki wa klabu ya Yanga SC.
Haji Manara aomba radhi kwa Jeshi la Polisi la Magereza baada ya Haji kumfokea na kumkejeli (na kumdharau) mmoja wa Askari wake baada ya mchezo wa klabu ya Yanga SC dhidi ya klabu ya Tanzania Prisons. Haji Manara alitaka kufanya mahojiano na Waandishi wa habari lakini Askari huyo wa Magereza akamtata Haji Manara asifanye mahojiano hayo sehemu ambayo alitaka kufanya kwa sababu ilikuwa sio mahali sahihi kwa ajili ya kufanya mahojiano. Mara baada ya Askari huyo kumkata Haji Manara asifanye mahojiano eneo lile, Haji aligoma na kutoa maneno yasiofaa kwa Askari huyo huku akimvimbua na kumwambia kuwa yeye ni Askari Magereza tu, hawezi kumfanya chochote kile. "Kwa heshma na Unyenyekevu mkubwa naomba nirudie tena kwa maandishi kuliomba radhi Jeshi la Magereza,Askari na Wote waliotharika na Sakata la Juzi,,, Hakuna Maneno yanayotosha kuzidi neno samahani,ukizingatia hapo awali tulikuwa tunaongea maneno ya kishabiki,,, Heshma yangu kwa Taasisi hii na nyingine za Dola haiwezi kuwa na mbadala wa kuomba sana Taaaisi hii muhimu Radhi kwa Viongozi wa Jeshi na Askari wake wote,, Asanteni sana 🙏🙏🙏" - Haji Manara, Shabiki wa klabu ya Yanga SC.
·32 Views