Mtandao wa YouTube imeanza harakati ya kupambana na video ambazo zinatumia picha (cover) na kicha cha habari (tittle) ambacho hakiendani na uhalisia wa video (kwa jina la kitaalam zinaitwa 'clickbait').
YouTube imeanzisha sera hiyo mpya ya kuondoa video zenye vichwa vya habari au picha (thumbnail) za kudanganya ambazo haziendani na uhalisia wa video. Sera hii mpya inaanza kutekelezwa Nchini India kabla ya kusambaa Duniani kote katika miezi ijayo.
Hatua hii inalenga “clickbait” mbaya zaidi, hasa kwenye video zinazohusu habari za dharura, siasa au matukio ya sasa. Wazalishaji wa video (Creators) wengi wamekuwa wakitumia picha (cover) na vichwa cha habari (tittle) vya uongo ili kuvutia Watu kufungua video lakini video inakuwa haiendani na vile wanavyoviona kwenye picha au kichwa cha habari.
Kuanzia mwakani, YouTube itaanza kukagua "cover" na vichwa vya habari kwa kutumia mfumo mpya ambao utagundua "tittle" au "cover" ambazo haziendani na uhalisia wa video.

·38 Просмотры