Upgrade to Pro

Kwenye Press yake ya kwanza aliyofanya baada ya kukabidhiwa timu, Kocha Sead Ramovic akiielezea style na Falsafa zake za uchezaji alisema;

"I like this kind of heavy rock and roll game to attack and press, not to let the opponent breath"

1. Kuzuia kwa shinikizo kubwa kwaajili ya kupora umiliki wa mpira pindi ukiwa kwa wapinzani wao (High Pressure defensive style), na kuanza kuzuia kwa haraka na shinikizo kubwa pindi wanapopoteza umiliki wa mpira (Counter Pressing)

2. Kushambulia kwa mashambulizi ya moja kwa moja na kushambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya umiliki wa mpira baada ya kuzuia kwa presha kubwa

- Hichi ndicho wanachokionesha kwasasa

Yanga leo msingi wa Ubora wao ulianzia Kwa namna Wanavyozuia kwa "NJAA KALI" wakiwa na miundo miwili ya kimkakati hasa kuzuia Dodoma Kupita katikati kwa viungo wa kati.

- Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-2-3-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Kiungo mmoja, Daudi
- Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-1-4-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Viungo wawili wa kati, Daudi na Hoza

Hii ina maana Yanga walikuwa wana adapt idadi ya wachezaji wa Dodoma wanaoweza ku-progress build up kutoka nyuma, ambapo;

- Aziz na Mudathir waliwa-mark Daudi na Hoza kuzuia Central Progressions
- Mzize na Pacome walisimama katikati ya Full Backs na Center Backs wa Dodoma kuzuia Wide Progressions
- Yanga walimsimamisha Dube mbele, akawa dhidi ya mabeki wawili na kipa wa Dodoma kutowapa uhuru

Lengo la pili la Yanga likawa kupora mipira na kujibu mashambulizi kwenye moment ndiyo MECHANISM ya magoli yote yalipochorwa;

- Wachezaji walijua tendo linalofuata baada ya kupora mpira
- wakishambulia space behind haraka, wakafaidika na kasi yao iliyozidi RECOVERY RUNS za wachezaji wa Dodoma

Siyo kwamba Dodoma hawakuwa wafanisi, bali kasi yao ya Ufanisi ilizidiwa na Presha ya Yanga, baada ya Presha;

- Quick Runs behind
- Wapo kwa idadi kubwa
- Energetic
- Accuracy ya matendo

PIRA ,GUSA, ACHIA TWENDE KWAO

๐Ÿ‘‰ Kwenye Press yake ya kwanza aliyofanya baada ya kukabidhiwa timu, Kocha Sead Ramovic akiielezea style na Falsafa zake za uchezaji alisema; ๐Ÿ—ฃ๏ธ "I like this kind of heavy rock and roll game to attack and press, not to let the opponent breath" 1. Kuzuia kwa shinikizo kubwa kwaajili ya kupora umiliki wa mpira pindi ukiwa kwa wapinzani wao (High Pressure defensive style), na kuanza kuzuia kwa haraka na shinikizo kubwa pindi wanapopoteza umiliki wa mpira (Counter Pressing) 2. Kushambulia kwa mashambulizi ya moja kwa moja na kushambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya umiliki wa mpira baada ya kuzuia kwa presha kubwa - Hichi ndicho wanachokionesha kwasasa ๐Ÿ‘‰ Yanga leo msingi wa Ubora wao ulianzia Kwa namna Wanavyozuia kwa "NJAA KALI" wakiwa na miundo miwili ya kimkakati hasa kuzuia Dodoma Kupita katikati kwa viungo wa kati. - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-2-3-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Kiungo mmoja, Daudi - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-1-4-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Viungo wawili wa kati, Daudi na Hoza ๐Ÿ‘‰ Hii ina maana Yanga walikuwa wana adapt idadi ya wachezaji wa Dodoma wanaoweza ku-progress build up kutoka nyuma, ambapo; - Aziz na Mudathir waliwa-mark Daudi na Hoza kuzuia Central Progressions - Mzize na Pacome walisimama katikati ya Full Backs na Center Backs wa Dodoma kuzuia Wide Progressions - Yanga walimsimamisha Dube mbele, akawa dhidi ya mabeki wawili na kipa wa Dodoma kutowapa uhuru ๐Ÿ‘‰ Lengo la pili la Yanga likawa kupora mipira na kujibu mashambulizi kwenye moment ndiyo MECHANISM ya magoli yote yalipochorwa; - Wachezaji walijua tendo linalofuata baada ya kupora mpira - wakishambulia space behind haraka, wakafaidika na kasi yao iliyozidi RECOVERY RUNS za wachezaji wa Dodoma ๐Ÿ‘‰ Siyo kwamba Dodoma hawakuwa wafanisi, bali kasi yao ya Ufanisi ilizidiwa na Presha ya Yanga, baada ya Presha; - Quick Runs behind - Wapo kwa idadi kubwa - Energetic - Accuracy ya matendo PIRA ,GUSA, ACHIA TWENDE KWAO ๐Ÿ™Œ
ยท29 Views