Klabu ya CS Sfaxien imepigwa faini na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ya Dola elfu (50) ambazo ni takribani Shilingi milioni (119) pamoja na kufungiwa Mashabiki wao kuingia Uwanjani kwa michezo miwili kufuatia vurugu zilizotokea kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Simba SC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Michezo miwili ambayo watacheza bila Mashabiki ni pamoja na:
- Cs Sfaxien vs Simba SC
- Cs Sfaxien vs Bravos.

·28 Views