Mlinda lango wa klabu ya Everton na Timu ya Taifa ya England , Jordan Pickford ametumia chupa maalumu ya maji ambayo ilikuwa na majina ya Wachezaji wa klabu ya Manchester City pamoja na upande ambao wanaopendelea kupiga penati.
Mlinda lango huyo, alifanikiwa kupangua penati ya Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City na Taifa ya Norway Erling Haaland na kuiwezesha klabu yake ya Everton kuondoka na alama moja (1) katika Uwanja wa Etihad ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao (1-1) huku mabao yote mawili (2) yakifungwa kipindi cha kwanza.
FT': Manchester City 1-1 Everton

Mlinda lango wa klabu ya Everton na Timu ya Taifa ya England 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩, Jordan Pickford ametumia chupa maalumu ya maji ambayo ilikuwa na majina ya Wachezaji wa klabu ya Manchester City pamoja na upande ambao wanaopendelea kupiga penati.
Mlinda lango huyo, alifanikiwa kupangua penati ya Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City na Taifa ya Norway Erling Haaland na kuiwezesha klabu yake ya Everton kuondoka na alama moja (1) katika Uwanja wa Etihad ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao (1-1) huku mabao yote mawili (2) yakifungwa kipindi cha kwanza.
FT': Manchester City 1-1 Everton
0 Commentarios
路0 Acciones
路242 Views