Upgrade to Pro

"Kwa akili ya kawaida tu, timu ya daraja kubwa kama Yanga ambayo imecheza fainali ya Shirikisho Afrika, timu ambayo imecheza robo fainali Klabu bingwa Afrika, timu ambayo ina makombe mengi nchini iende kuifunga Dodoma Jiji halafu uwe na stori tofauti na mpira wa miguu?

Wakifungwa Yanga na kucheza vibaya, mada huwa ni za mpira wa miguu na huwa tunakubaliana vizuri tu, ila wakicheza vizuri na kushinda Yanga basi mada huwa hazihusu tena mpira wa miguu, utasikia Marefa mara Udhamini hii huwa inafikirisha sana! Yaani una mashaka na quality ya timu kama Yanga?

Tuupe heshima sana mpira wa miguu." - Farhan JR, Mchambuzi

"Kwa akili ya kawaida tu, timu ya daraja kubwa kama Yanga ambayo imecheza fainali ya Shirikisho Afrika, timu ambayo imecheza robo fainali Klabu bingwa Afrika, timu ambayo ina makombe mengi nchini iende kuifunga Dodoma Jiji halafu uwe na stori tofauti na mpira wa miguu? Wakifungwa Yanga na kucheza vibaya, mada huwa ni za mpira wa miguu na huwa tunakubaliana vizuri tu, ila wakicheza vizuri na kushinda Yanga basi mada huwa hazihusu tena mpira wa miguu, utasikia Marefa mara Udhamini hii huwa inafikirisha sana😀! Yaani una mashaka na quality ya timu kama Yanga? Tuupe heshima sana mpira wa miguu." - Farhan JR, Mchambuzi
·15 Views