Upgrade to Pro

“Kocha (Saed Ramovic) ni mkali sana.Hataki ukae na mpira mguuni muda mrefu.Anataka twende mbele kwa kasi yaani gusa tuondoke.Tumeona mabadiliko makubwa sana.Mbinu zake na mifumo yake inataka uwe na pumzi ya kutosha.”

“Hataki kuona kabisa unakaa na mpira hata sekunde tano.Ukiupata unatakiwa kujua unaupeleka wapi na kwenda kuunda umbo wapi.Kifupi tukabe wote, tufunge wote.“ - Pacome Zouzoua, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
“Kocha (Saed Ramovic) ni mkali sana.Hataki ukae na mpira mguuni muda mrefu.Anataka twende mbele kwa kasi yaani gusa tuondoke.Tumeona mabadiliko makubwa sana.Mbinu zake na mifumo yake inataka uwe na pumzi ya kutosha.” “Hataki kuona kabisa unakaa na mpira hata sekunde tano.Ukiupata unatakiwa kujua unaupeleka wapi na kwenda kuunda umbo wapi.Kifupi tukabe wote, tufunge wote.“ - Pacome Zouzoua, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
·35 Views