Обновить до Про

Mtandao wa Instagram kwa sasa unaruhusu kupanga ujumbe wako (DM) ujitume lini na saa ngapi yaani tarehe na saa maalum. Ili kufanikisha hilo, ni kwa kushikilia kwa muda mrefu kitufe cha “Send” kisha utapata "option" ya kuchagua tarehe na saa ambayo unataka message ijitume.

Kipengele hiki kimeanza kwenye ujumbe wa maandishi pekee, lakini sio katika ujumbe (meseji) wa kutuma picha, video, na GIF. Kipengele hiki pia kinaruhusu kupanga hadi siku (29) mbele na kinaonyesha idadi ya ujumbe uliopangwa kwenye mazungumzo.

Instagram imeongeza pia vipengele vingine kama kuhariri ujumbe, kuchora kwenye picha, na kutuma au kuonyesha mahali ulipo "Live Location".
Mtandao wa Instagram kwa sasa unaruhusu kupanga ujumbe wako (DM) ujitume lini na saa ngapi yaani tarehe na saa maalum. Ili kufanikisha hilo, ni kwa kushikilia kwa muda mrefu kitufe cha “Send” kisha utapata "option" ya kuchagua tarehe na saa ambayo unataka message ijitume. Kipengele hiki kimeanza kwenye ujumbe wa maandishi pekee, lakini sio katika ujumbe (meseji) wa kutuma picha, video, na GIF. Kipengele hiki pia kinaruhusu kupanga hadi siku (29) mbele na kinaonyesha idadi ya ujumbe uliopangwa kwenye mazungumzo. Instagram imeongeza pia vipengele vingine kama kuhariri ujumbe, kuchora kwenye picha, na kutuma au kuonyesha mahali ulipo "Live Location".
·32 Просмотры