Upgrade to Pro

Baada ya Mwigizaji wa filamu wa muda mrefu Tanzania, Rose Ndauka kutoa EP yake mpya ya muziki wa Hip-hop, Wanzengo wamemshambulia kwenye mitandao ya jamii. Msanii huyo ameshindwa kuvumilia na kuwajibu kama inavyoonekana pichani.

·20 Views