“Ndugu zangu mashabiki, Wanachama na Wapenzi wa Klabu ya Yanga, naweza Kutumia maneno mengi kweli, naweza kutumia kila aina ya Sanaa ambayo Mungu amenijaalia kufikisha ujumbe huu mkafahamu umuhimu mkubwa wa mchezo huu, lakini ukweli ambao utaendelea kubakia na hapa nawaomba sana Wanachama wa Yanga Sc, huu ukweli ambao uko mbele yetu unapaswa kutupa Hamasa kubwa kuliko vitu vyote.
Ukweli ambao hatuwezi kuuepuka ni ukweli huu unaoumiza wa hali yetu kwenye ligi ya Mabingwa msimu huu hasa tunapolitazama Kundi letu, haipendezi na haivutii lakini ndiyo ukweli, sisi tuna alama moja tu kwenye michezo mitatu, pia tunashika nafasi ya mwisho kwenye kundi letu, huu ni ukweli Mchungu ambao unapaswa kuwa Hamasa Namba moja kwa kila Mwanayanga kuelekea Mchezo wetu dhidi ya Tp Mazembe Jumamosi hii” Ally Kamwe.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

·91 Views