Upgrade to Pro

Ni tetesi

Kupitia Rais wa heshima na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji wametuma ofa ya dola laki tatu (300,000) ambazo ni zaidi ya Shilingi milioni (730) za Kitanzania pamoja Mlinda lango wao Aishi Manula kwa klabu ya Azam FC ili kumhitaji Feisal Salum "Fei Toto".

NB : Dola laki tatu + Aishi Manula = Fei Toto?

Ni tetesi Kupitia Rais wa heshima na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji wametuma ofa ya dola laki tatu (300,000) ambazo ni zaidi ya Shilingi milioni (730) za Kitanzania pamoja Mlinda lango wao Aishi Manula kwa klabu ya Azam FC ili kumhitaji Feisal Salum "Fei Toto". NB : Dola laki tatu + Aishi Manula = Fei Toto?
·25 Views