Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc.
Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa zaid ya 1B kwa klabu ya Tanzania .
Klabu yake ya zamani Yanga itapata asilimia zisizo pungua 25% kutokana na mauzo hayo iwapo itapatikana klabu ya nje ya Tanzania na Azam fc itapaswa kuilipa Yanga 1B iwapo mchezaji huyo atauzwa ndani ya Tanzania au kwenda mkopo ndani ya nchi.
Ni kweli Kaizer chiefs wameulizia upatikanaji wa kiungo huyo lakini bado hawaja wasilisha ofa yao.
(George Job)

Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa zaid ya 1B kwa klabu ya Tanzania 🇹🇿.

·61 Views