Upgrade to Pro

"Kunipata katika picha nimevaa jezi ya Simba SC ni mara chache sana kipindi kile. Lakini leo hata nikiwa nyumbani huwa navaa jezi za Yanga SC. Ikiwa inacheza ndiyo lazima nivae. Siwezi kutazama mechi ya Yanga SC hivi sasa bila kuvaa jezi. Nimejiwekea utamaduni huu na hii ni kama imani kuwa nikivaa jezi tunashinda. Nimetazama mechi ya Tabora United bila kuvaa jezi tukafungwa mabao 3-1" - Haji Manara

·60 Views