"Pengine watacheza kwa mtindo ule ule waliocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi yetu. Kwa mipira ya juu, kushinda mipira ya pili, na kurusha krosi nyingi kwenye eneo letu. Tutakutana na mechi ngumu lakini tumejiandaa vizuri kwa sababu tuna wachezaji binafsi wenye uwezo mkubwa na tumeanza kuwa timu. Hili linanifanya nijivunie sana kama Kocha" Sead Ramovic
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

·107 مشاهدة