Обновить до Про

"Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema.

Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic akijibu swali la mwandishi wa habari.

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
"Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema. Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic akijibu swali la mwandishi wa habari. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
·127 Просмотры