Upgrade to Pro

MWAKA 2025 UNAZIDI KUTOLEWA UTABARI

Ngono kati ya Mwanamke na roboti itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume Mwaka Huu 2025. Ni kwa mujibu wa Utafiti Uliochapishwa Na Jarida la The Sun Mwaka 2016

Utafiti huo ulifanywa na Dr lan Pearson ambaye ni mtaalam wa masuala ya utabiri na mambo ya baadaye (futurologist) na alieleza kwamba kutokana na ongezeko la wanawake kutumia midoli kujistarehesha, basi mwaka huu 2025 kustarehe na roboti itakuwa sio jambo la kustaajabisha na kufikia mwaka 2050 binadamu watakuwa wakistarehe zaidi na mashine kuliko binadamu wenzao kutokana na kukua kwa teknolojia ya akili mnemba (Artificial Intelligence) na mashine.

Wanawake watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, Kwa Mujibu Wa Ripoti.
MWAKA 2025 UNAZIDI KUTOLEWA UTABARI Ngono kati ya Mwanamke na roboti itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume Mwaka Huu 2025. Ni kwa mujibu wa Utafiti Uliochapishwa Na Jarida la The Sun Mwaka 2016 Utafiti huo ulifanywa na Dr lan Pearson ambaye ni mtaalam wa masuala ya utabiri na mambo ya baadaye (futurologist) na alieleza kwamba kutokana na ongezeko la wanawake kutumia midoli kujistarehesha, basi mwaka huu 2025 kustarehe na roboti itakuwa sio jambo la kustaajabisha na kufikia mwaka 2050 binadamu watakuwa wakistarehe zaidi na mashine kuliko binadamu wenzao kutokana na kukua kwa teknolojia ya akili mnemba (Artificial Intelligence) na mashine. Wanawake watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, Kwa Mujibu Wa Ripoti.
Sad
2
·242 Views