Upgrade to Pro

Leo imetimia miaka mitatu ya Semaji Ahmed Ally kama Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC.

Jambo gani linakuvutia zaidi katika utendaji wake wa kazi?

#paulswai
Leo imetimia miaka mitatu ya Semaji Ahmed Ally kama Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC. Jambo gani linakuvutia zaidi katika utendaji wake wa kazi? #paulswai
Love
Like
5
·160 Views