Upgrade to Pro

CUCKOO BIRD Ni ndege pekee na mjanja anayetaga yai kwenye kiota Cha ndege mwingine ili kinda wake atunzwe na ndege huyo Hadi anapokuwa mkubwa.Cuckoo anataga kwenye kiota Cha ndege mwingine ambaye ametaga,yai lake linakuwa la kwanza kutotolewa,kinda wa cuckoo anayasukuma mayai au makinda ya yule ndege mwingine nje ya kiota na kuyaangusha Kisha anabaki mwenyewe kwenye kiota,na ndege huyo anaendelea kumlisha kinda wa cuckoo akijua Ni kinda wake kumbe Ni kinda la ndege Aina ya cuckoo ambaye alitaga kijanja kwenye kiota chake na kumuachia amtunze Kama wake.Kinda wa cuckoo anakuwa mkubwa kiumbo kuwazidi wazazi wanaomlea huku wakiwa wanamlisha bila kushtuka sio kinda lao.Cuckoo anauwezo wa kufanya ujanja huu kwa Aina 120 ya ndege kwa kutaga kwenye viota vyao.Cuckoo jike anataga yai moja kwa kila kiota kwa msimu moja anataga mayai 12 kwenye viota tofauti.Cuckoo Ni ndege anaepatikana Afrika,Ulaya,Asia lakini mwezi wa 9 wanakuja Afrika kutoka Ulaya na Asia kukwepa baridi Kali na uhaba wa chakula,wanakaa Afrika kwa miezi 9.

Like
1
·55 Views