MBUNI(OSTRICH) Ni ndege pekee mkubwa na mzito kuliko ndege wote duniani,ana urefu wa futi 6 kwenda juu na uzito wa kilo 145.Mbuni anaishi maeneo ya mbuga(plain) na mbuga yenye vichaka vidogo(Savannah).MBUNI dume manyoya yake yana rangi nyeusi na nyeupe MBUNI jike manyoya yake yana rangi ya kahawia na kijivu,MBUNI anataga mayai makubwa kuliko ndege wote duniani,yai lake Lina urefu wa sentimita 15 na uzito wa kilo 1 na yai moja la MBUNI Ni sawa na mayai 24 ya kuku.Mbuni jike analalia mayai mchana na MBUNI dume analalia usiku.Kifaranga Cha MBUNI kinalingana na kuku mkubwa.Mbuni ndiye ndege pekee ambaye ana vidole viwili kila mguu,na anakimbia kilomita 70 kwa saa.Miguu yake yenye nguvu anaitumia Kama silaha kwa kupiga teke la mbele.Mbuni hana meno Ila anameza mawe madogo madogo ili yasaidie kumegenya chakula alichokula.MBUNI anakojoa mkojo Kama vile mnyama mkojo wake haujichanganyi na kinyesi.Mbuni ana jicho kubwa kuliko wanyama wote wanaoishi nchi kavu hii inamsaidia kuona adui akiwa mbali.Mbuni ndiye ndege anaekimbia Sana kuliko ndege wote wenye miguu miwili anakimbia kilomita 70 kwa saa na akiwa kwenda mwendo wa Kasi hatua yake moja Ni mita 5.Mbuni ana matumbo matatu

·56 Views