Upgrade to Pro

Baada ya kutengana kutoka kwenye biashara waliyokuwa wanafanya pamoja ya viatu, Rudolf Dassler (Kaka) alienda kuanzisha kampuni yake ya Puma mwaka 1948 na Adolf Dassler (Mdogo) alienda kuanzisha Adidas mwaka 1949.

Ugomvi wao ulisababisha mpaka upinzani mkubwa ndani ya mji wa Herzogenaurach', Watu walikua hawafanyi mawasiliano yoyote hata kuoana kati ya mtu anaependa bidhaa za Puma au Adidas lilikua ni kosa la jinai miaka ya 1950's na mpaka sasa upinzani mkubwa kwenye mji huo upo.
#jewajua
Baada ya kutengana kutoka kwenye biashara waliyokuwa wanafanya pamoja ya viatu, Rudolf Dassler (Kaka) alienda kuanzisha kampuni yake ya Puma mwaka 1948 na Adolf Dassler (Mdogo) alienda kuanzisha Adidas mwaka 1949. Ugomvi wao ulisababisha mpaka upinzani mkubwa ndani ya mji wa Herzogenaurach', Watu walikua hawafanyi mawasiliano yoyote hata kuoana kati ya mtu anaependa bidhaa za Puma au Adidas lilikua ni kosa la jinai miaka ya 1950's na mpaka sasa upinzani mkubwa kwenye mji huo upo. #jewajua
Like
1
·149 Ansichten