INRI: Iesus Nazarenus Rex Iudaeorum. Hayo ni maneno ya kilatini yenye maana 'Jesus of Nazareth, King of Jews' yaani Yesu wa Nazareti mfalme wa wahayudi. Maneno hayo yaliandikwa katika kibao kilichopigiliwa kwenye msalaba aliosulubiwa Kristo mnamo milenia mbili zilizopita.

·56 Vue