HONEY GUIDE ni ndege ambaye anakuelekeza asali ilipo.Masai wanaotafuta asali porini hupiga mluzi kumuita Honey guide.nae hutoa ishara ya sauti na kuruka mti Hadi mti kukuonyesha nyuki walipo ili utoe asali.Honey guide hana uwezo wa kutoa asali bali anakuonyesha ili ukitoa umewekee Sega nae ale kwasababu anapenda Sana mayai ya nyuki na watoto wa nyuki.Honey guide ni ndege pekee ambaye tumbo lake linameng'enya nta(digest wax).Akikuelekeza asali ilipo alafu usimpe hata kidogo anakasirika,siku nyingine anakupeleka kwenye mnyama mkali Kama Simba,dume la tembo,au chui.

1 Comments
·44 Views