Upgrade to Pro

Sikia hii kutoka Kwa Rude boy: Kwa sababu ya pesa nlimpoteza mwanamke ambaye hata mama alijua nitamuoa - Rude boy

Wimbo Reason with me ulisimulia kile kilichonitokea kweli, nlikuwa na msichana ambaye hata mama alijua nitakuja kumuoa, lakini wakaja wale big boys wakafanya Yao kila kitu , kila kitu nlichofanya kikawa kero kwake , hata salamu zangu, lakini hata hivyo nashukuru alinifanya niipambanie maisha yangu kwa ukubwa , unajua pesa inaweza kumfanya mwanamke akuache na kukutaftia sababu zisizo na maana - Rude boy

Funzo: hakika pesa ni nzuri Mungu abariki kila juhudi halali unayoweka kwa ajili ya mafanikio yako...

#jewajua
Sikia hii kutoka Kwa Rude boy: Kwa sababu ya pesa nlimpoteza mwanamke ambaye hata mama alijua nitamuoa - Rude boy Wimbo Reason with me ulisimulia kile kilichonitokea kweli, nlikuwa na msichana ambaye hata mama alijua nitakuja kumuoa, lakini wakaja wale big boys wakafanya Yao kila kitu , kila kitu nlichofanya kikawa kero kwake , hata salamu zangu, lakini hata hivyo nashukuru alinifanya niipambanie maisha yangu kwa ukubwa , unajua pesa inaweza kumfanya mwanamke akuache na kukutaftia sababu zisizo na maana - Rude boy Funzo: hakika pesa ni nzuri Mungu abariki kila juhudi halali unayoweka kwa ajili ya mafanikio yako... #jewajua
·85 Views