JE UNAFAHAMU: Wachezaji wanakumbana na mambo mengi sana uwanjani hivyo ukiona ghafla kiwango kinashuka usimtukane muombee.
Iko hivi kuna siku Real Madrid walikuwa wanaenda kukutana na Atletico Madrid, kumbuka ni dabi hii hivyo lazima mtifuano uwe mkubwa.
Wachezaji huwa wanapeana mbinu mbalimbali ili kushinda sasa beki Filipe Luis aliamua kutafuta udhaifu wa Di Maria ili aweze kumtawala, akapewa mbinu Sergio Aguero ambaye alikuwa anacheza Taifa Moja na Di Maria ambayo hadi leo anajutia.
Filipe Luis anasema: "Majuto yangu makubwa katika kazi yangu? Ilikuwa na Di Maria.
"Ikiwa kuna kitu najuta kukifanya, labda ndicho kitu pekee ninachojutia, ilikuwa dhidi ya Di Maria na ningependa kurejesha nyuma ili nisurudie...
"Tulikuwa tunaenda kucheza dhidi ya Real Madrid na Agüero aliniambia: 'Filipe, zungumza naye kuhusu mke wake (vitu vibaya), atapoteza, ataacha mchezo.
“Wakati wa mchezo, NILIMTUKANA, nilizungumza kuhusu MKE wake, Alinitazama, alikuwa AMEPOTEA, nilishinda mchezo mzima dhidi yake.
“Nilirudi nyumbani na KUJUTA sana. Samahani kwa kufanya hivyo na Maria. Di Maria, samahani, samahani nilifanya hivyo, samahani."

·55 Views