Upgrade to Pro

SOMA HII.. Tajiri namba Moja Elon musk haja na smartphone kiboko haiitaji umeme unatumia internet wakati wote.

Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kupatikana kote duniani mwishoni mwa mwaka huu, 2024.

Simu hiyo inatajwa kuja kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya mawasiliano kwa simu za mkononi, ikiwa na sifa kibao ambazo hazipo kwenye simu nyingine, kubwa ikiwa inatumia nishati ya jua kujichaji.

Inaelezwa kuwa huenda simu hiyo ikaja kuleta upinzani mkubwa kwa simu za iPhone ambazo zinasifika duniani kote kutokana na ubora wake.

Sifa za kipekee za simu hizo, ya kwanza ni kwamba kama ilivyoelezwa, hakuna haja ya kuchaji betri kwa sababu inajichaji yenyewe kwa kutumia nishati ya jua.

Huna haja ya kuchomeka ‘charger’ kwenye umeme, unachotakiwa ni kuwa tu sehemu yenye jua au yenye mwanga kisha simu inaendelea kujichaji yenyewe ‘automatically’.

Sifa yake ya pili ni kwamba hakuna haja ya kujiunga na intaneti ya kawaida kwani simu hizo zinaunganishwa moja kwa moja na mtandao wa Starlink uliosambaa duniani kote unaotumia satelite ili kupata intaneti.

Sifa nyingine kubwa ni kwamba simu hiyo ina uwezo wa kuunganisha dunia, mwezi na sayari ya Mars, kwamba kama upo duniani na mtu mwingine yupo mwezini, basi unampata vizuri kabisa hewani ukimpigia simu.

Inaelezwa kuwa simu za Tesla zinakuja kuleta mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa teknolojia na kubadilisha kabisa jinsi watu wanavyotumia simu za kisasa.
SOMA HII.. Tajiri namba Moja Elon musk haja na smartphone kiboko haiitaji umeme unatumia internet wakati wote. Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kupatikana kote duniani mwishoni mwa mwaka huu, 2024. Simu hiyo inatajwa kuja kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya mawasiliano kwa simu za mkononi, ikiwa na sifa kibao ambazo hazipo kwenye simu nyingine, kubwa ikiwa inatumia nishati ya jua kujichaji. Inaelezwa kuwa huenda simu hiyo ikaja kuleta upinzani mkubwa kwa simu za iPhone ambazo zinasifika duniani kote kutokana na ubora wake. Sifa za kipekee za simu hizo, ya kwanza ni kwamba kama ilivyoelezwa, hakuna haja ya kuchaji betri kwa sababu inajichaji yenyewe kwa kutumia nishati ya jua. Huna haja ya kuchomeka ‘charger’ kwenye umeme, unachotakiwa ni kuwa tu sehemu yenye jua au yenye mwanga kisha simu inaendelea kujichaji yenyewe ‘automatically’. Sifa yake ya pili ni kwamba hakuna haja ya kujiunga na intaneti ya kawaida kwani simu hizo zinaunganishwa moja kwa moja na mtandao wa Starlink uliosambaa duniani kote unaotumia satelite ili kupata intaneti. Sifa nyingine kubwa ni kwamba simu hiyo ina uwezo wa kuunganisha dunia, mwezi na sayari ya Mars, kwamba kama upo duniani na mtu mwingine yupo mwezini, basi unampata vizuri kabisa hewani ukimpigia simu. Inaelezwa kuwa simu za Tesla zinakuja kuleta mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa teknolojia na kubadilisha kabisa jinsi watu wanavyotumia simu za kisasa.
Like
1
·36 Views