Upgrade to Pro

Legend Xavi Hernandez anazungumzia kuhusu Dembele ๐ŸŽ™๐ŸŽ™๐ŸŽ™ :

๐ŸŽ™ Mimi ni mtu ambaye nilimuunga mkono Dembele zaidi pale Barcelona na nilielewa uamuzi wake alipoondoka, lakini jambo la bahati mbaya ni pale tulipocheza dhidi ya Paris na mwamuzi akanitoa na nikamuona Dembele akimpongeza

๐ŸŽ™ Siku zote najua kwamba soka si haki, unapoona kwamba Barcelona ilitunza matibabu yake kwa miaka mingi na kumrekebisha na kulipa mshahara wake alipokuwa hospitalini na kisha alifanya hivyo, ilikuwa moja ya matukio ya bahati mbaya zaidi

โ— "Sidhani kama shabiki yeyote wa Barça angependa kumsamehe Dembele. Wengine wanamwita Yuda wakati wengine wanasema kuondoka kwake ilikuwa baraka kwa kikosi chao kuwa Bora kwa Sasa.
Legend Xavi Hernandez anazungumzia kuhusu Dembele ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸŽ™๐ŸŽ™๐ŸŽ™ : ๐ŸŽ™ Mimi ni mtu ambaye nilimuunga mkono Dembele zaidi pale Barcelona na nilielewa uamuzi wake alipoondoka, lakini jambo la bahati mbaya ni pale tulipocheza dhidi ya Paris na mwamuzi akanitoa na nikamuona Dembele akimpongeza ๐Ÿคฏโค๏ธ ๐Ÿ”ฅ ๐ŸŽ™ Siku zote najua kwamba soka si haki, unapoona kwamba Barcelona ilitunza matibabu yake kwa miaka mingi na kumrekebisha na kulipa mshahara wake alipokuwa hospitalini na kisha alifanya hivyo, ilikuwa moja ya matukio ๐Ÿคฏโค๏ธ ๐Ÿ”ฅ ya bahati mbaya zaidi โ— "Sidhani kama shabiki yeyote wa Barça angependa kumsamehe Dembele. Wengine wanamwita Yuda wakati wengine wanasema kuondoka kwake ilikuwa baraka kwa kikosi chao kuwa Bora kwa Sasa.
Like
1
ยท22 Views