Upgrade to Pro

Je wajua: YouTube ni mtandao wa Kimarekani unaooshesha (streaming) video mtandaoni wenye makao yake makuu mjini San Bruno, California , ulioanzishwa na wafanyakazi watatu wa zamani wa PayPal— Chad Hurley , Steve Chen , na Jawed Karim – mwezi Februari 2005. Google ilinunua tovuti hii mnamo Novemba 2006 kwa dola za Marekani bilioni 1.65, tangu hapo inafanya kazi kama mojawapo ya kampuni za Google .

Like
1
·33 Ansichten