Upgrade to Pro

*Ukurasa rasmi unaofanya tafiti mbalimbali za mpira wa miguu kwa kutumia takwimu, @cies_football, umechapisha orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu ghali zaidi duniani hadi Januari hii 2025.*

*Katika orodha hiyo, klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania imesheheni nyota ghali zaidi duniani, wakiwemo Jude Bellingham, Vinicius Junior, Kylian Mbappé, Rodrygo, Federico Valverde, pamoja na Eduardo Camavinga. (EUR 1 ni takribani shilingi 2,500)*


*Ukurasa rasmi unaofanya tafiti mbalimbali za mpira wa miguu kwa kutumia takwimu, @cies_football, umechapisha orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu ghali zaidi duniani hadi Januari hii 2025.* *Katika orodha hiyo, klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania imesheheni nyota ghali zaidi duniani, wakiwemo Jude Bellingham, Vinicius Junior, Kylian Mbappé, Rodrygo, Federico Valverde, pamoja na Eduardo Camavinga. (EUR 1 ni takribani shilingi 2,500)*
Like
1
·16 Views