Klabu ya Azam FC imetangaza kumsajili wa Beki Zouzou Landry (23) ambaye ni Raia wa Côté d'Ivoire. Mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka minne (4) ndani ya Azam FC akitokea klabu ya AFAD Djekanou ya kwao Côté d'Ivoire.

·53 Visualizações