Wengi walishawahi sikia neno LULU au kwa kizungu PEARL, haya sio madini yanayochimbwa ardhini kma madini mengine yanavyochimbwa bali hizi ni goroli za thamani kubwa zinazopatikana ndani ya samaki wa baharini anaeitwa OYERSTA, samaki huyu anapokufa lulu hizi hubakia chini ya kina cha bahari hivyo wazamiaji huziokota, goroli hizi huwa zinathani kubwa na mara nyingi watu wenye kipato kikubwa kma wafalme na malikia huwa ndio wanavaa mikufu ya lulu og, kutokana na thamani kubwa na uadimu wa goroli hizi basi goroli hizi huchukuliwa kma ni madini ya vito ila kiuhalisia sio madini kwani huwa hayachimbwi ardhini kma madini mengine ya vito.
Ili upate lulu hizi unatakiwa utafute chini ya kina cha bahari au umkamate samaki huyu na kumpasua, na kma utamkamata samaki huyu na kumpasua basi utazikuta goroli hizi zimejipanga kwa mstari ndani ya samaki huyu, kweli mungu mkubwa.
Goroli hizi huwa zinapendeza sana na huwa zinang'ara sana na kung'ara kwake ndio kumefanya goroli hizi kuwa na thamani kubwa.

·56 Views