Upgrade to Pro

KISIWA CHA PALMESTON KILICHO MWISHO WA DUNIA Kisiwa hiki ni moja ya jumuiya ya watu wanaoishi pembezoni mwa dunia.Kisiwa kidogo kilicho bahari ya pacific kinaitwa kisiwa cha palmeston.Kiko chini ya usimamizi wa nchi ya New zealand wanaletewa meli ya mahitaji yao muhimu mara mbili tu kwa mwaka umbali kilipo mkubwa mno na kukifikia ni safark ndefu sana na hatari kwa wanaopenda kukitembelea. Cha ajabu zaidi wakazi wake 62 wote ni uzao wa mtu mmoja mwingereza aliyefika hapo toka mji wa Leicester miaka 150 iliyopita Mr Willim Markmaster.Kutoka Leicester hadi alipofika mtu huyo ni umbali wa km 10,000 alikuja na captain Cook akampa kazi ya kupanda minazi akabakia hapo Safari ndefu ya kukifikia usiku na mchana kwa boti na mawimbi ya bahari ya pacific ilivyo kubwa ni mbali mno binadamu wa kawaida kuweza kufikiria ndio maana kikaitwa kiko mwisho wa dunia. Markmasters alipewa umiliki huo na malikia Victoria mwaka 1850.Umbali kutoka kisiwa hicho hadi New zealand wanaowaletea mahitaji muhimu ni km 5299 baharini.Kisiwa cha karibu ambacho kwao wanaona ni jirani ni kisiwa cha Rarotonga kiko umbali wa km 3148.Kusafiri kwa boti ni siku nne safari ya usiku na mchana.Linapofika suala la huduma kuhitaji huduma ya kutibiwa jino iko kisiwa hicho cha karibu ya km 3148.Mama mzee kuliko wote kisiwa hicho mama Aka mwenye miaka 92 alikwenda kutibiwa jino kisiwa cha karibu cha Rarotonga alipotibiwa usafiri wa kurudi kisiwani kwake ilibidi asubiri miezi sita kupata meli ya kumrudisha nyumbani. Ila wananchi wake wanaishi maisha ya raha sana kuna kanisa,shule na huduma za internet kwa ujumla ni watu wanaoishi maisha ya raha na amani sana.Kisiwani humo kuna polisi mmoja tu na inasemekana ni polisi mwenye raha asiye na kazi ngumu kuliko polisi wote duniani kwa vile uzao wao wote wana damu moja.Hakuna gari wala uwanja wa ndege wala gari ila wanaishi vizuri mno.Kutoka kisiwa hicho hadi mji wa Capetown Africa kusini ni km 11,154 baharini.Picha kushoto ni kisiwa hicho kulia ni bibi Mama Aka alipokuwa hospitali anasubiri meli ije baada ya miezi sita.

·32 Ansichten