Upgrade to Pro

Mtaalamu wa hesabu na fizikia kutoka NASA Katherine Johnson amefariki leo hii akiwa na umri wa miaka 101. Johnson alikuwa ni miongoni mwa wanawake weusi watatu waliofanya kazi NASA wakati wa kipindi cha mbio za safari za anga za majuu kati ya Marekani na Urusi miaka ya 60. Wakati anafanya kazi NASA kazi yake kubwa ilikuwa ni kufanya mahesabu ambayo yalikwenda kutumika kupeleka wanaanga nje ya Dunia na kwenye mwezi, Johnson alikuwa yupo vizuri sana kwenye hesabu kiasi cha kwamba hata NASA waliponunua kompyuta ya kwanza kutoka IBM walikuwa wanamwita yeye kusahihisha mahesabu yaliyofanywa na kompyuta

. #jewajua
Mtaalamu wa hesabu na fizikia kutoka NASA Katherine Johnson amefariki leo hii akiwa na umri wa miaka 101. Johnson alikuwa ni miongoni mwa wanawake weusi watatu waliofanya kazi NASA wakati wa kipindi cha mbio za safari za anga za majuu kati ya Marekani na Urusi miaka ya 60. Wakati anafanya kazi NASA kazi yake kubwa ilikuwa ni kufanya mahesabu ambayo yalikwenda kutumika kupeleka wanaanga nje ya Dunia na kwenye mwezi, Johnson alikuwa yupo vizuri sana kwenye hesabu kiasi cha kwamba hata NASA waliponunua kompyuta ya kwanza kutoka IBM walikuwa wanamwita yeye kusahihisha mahesabu yaliyofanywa na kompyuta . #jewajua
·103 Views