Upgrade to Pro

SHIGETAKA KURITA.... Mvumbuzi WA Emoji

Kama ulikuwa hujui...... Ni hivi emoji zilianza kutumika mwaka 1999 nchini Japan

Mvumbuzi wa Emoji aliitwa Shigetaka Kurita aliyekuwa anafanya kazi katika kampuni ya na mawasiliano iliyoitwa DECOMO

Shigetaka Kurita alikuwa ndio mbunifu mkuu wa kampuni hiyo ya decomo ....kampuni hiyo iliyokuwa na malengo ya kuanzisha namna mpya ya kuwasiliana

Shigetaka alikuwa na kiu ya kufanya mawasiliano ya mitandao yawe yakuvutia na kurahisisha ujumbe kueleweka kwa haraka ndipo alipobuni emoji 176 zilizokuwa zinaelezea maana mbali mbali.... Kama vile hali ya hewa...msongamano wa magari ...na teknolojia mbali mbali

Baada ya kuanzishwa emoji hizo katika miaka ya 1999 ilianza kutumika nchini Japan tu.

Baada ya miaka michache emoji ikaanza kutumika Katika nchi nyingine huku kampuni ya Apple nayo ikaanza kutumia emoji

Inakadiriwa hadi sasa hivi kuna zaidi ya emoji 3178

Comment emoji yoyote ile ambayo hujawahi kuitumia kisha mtag rafiki yako kipenzi....... 🏕🏖

Tafadhali share na wengine wajue
SHIGETAKA KURITA.... Mvumbuzi WA Emoji Kama ulikuwa hujui...... Ni hivi emoji zilianza kutumika mwaka 1999 nchini Japan Mvumbuzi wa Emoji aliitwa Shigetaka Kurita aliyekuwa anafanya kazi katika kampuni ya na mawasiliano iliyoitwa DECOMO Shigetaka Kurita alikuwa ndio mbunifu mkuu wa kampuni hiyo ya decomo ....kampuni hiyo iliyokuwa na malengo ya kuanzisha namna mpya ya kuwasiliana Shigetaka alikuwa na kiu ya kufanya mawasiliano ya mitandao yawe yakuvutia na kurahisisha ujumbe kueleweka kwa haraka ndipo alipobuni emoji 176 zilizokuwa zinaelezea maana mbali mbali.... Kama vile hali ya hewa...msongamano wa magari ...na teknolojia mbali mbali Baada ya kuanzishwa emoji hizo katika miaka ya 1999 ilianza kutumika nchini Japan tu. Baada ya miaka michache emoji ikaanza kutumika Katika nchi nyingine huku kampuni ya Apple nayo ikaanza kutumia emoji Inakadiriwa hadi sasa hivi kuna zaidi ya emoji 3178 Comment emoji yoyote ile ambayo hujawahi kuitumia kisha mtag rafiki yako kipenzi....... 💵📦🛂🛃🏕🌋🏖🇦🇷🇦🇺🇦🇶 Tafadhali share na wengine wajue
·25 Views