Laura Bush anasema mume wake yaani George W. Bush alikuwa mlevi sana. Ikafika kipindi akaogopa akaona hata Urais utamshinda. Lakini Laura Bush hakuwahi kuthubutu kuita press conference kusema "ninyi wamarekani mnamheshimu na kumsikiliza huyu mshenzi mlevi mkubwa? Hamumjui tu". Hakuthubutu. Alichokifanya alimtafuta Billy Graham amsaidie mumewe George Bush kuacha ulevi kimyakimya. Leo mume wako kurudi asubuhi umeshapost Instagram. Unataka dunia nzima ije kumshauri? Mke amekutukana umeshapost facebook. Watu wa facebook walikuchagulia mke? Hakuna mtu hana mapungufu ndugu, wengi wanatatua mambo yao faragha. Anayesema hana tatizo muongo! Lakini kila kitu kina faragha. George Bush mwenyewe asingekiri kuwa alikuwa mlevi ungeamini? Si ungejua Laura anaenjoy! Lakini Laura alikuwa na changamoto ndani ya Ikulu. Lakini aliifanya ikawa faragha na Bush akasaidika akaacha pombe.

·35 Views