Обновить до Про

IJUE NCHI YA LUXEMBOURG

1. kuanzia tar 1/3/2020 luxembourge ndio itakuwa nchi ya kwanza ambayo haulipii nauli unapotaka kusafiri...yaan utapanda gari bure, treni bure.....ukumbuke asilimia 60 ya wakazi wa nchi hiyo wanamiliki magari...na asilimia 19 tu ya raia ndio wanatumia usafiri wa umma

2) Waziri mkuu wa Luxembourge ...ndio waziri mkuu wa kwanza kuoana na mwanaume mwenzie.......waziri mkuu huyo anaitwa Xavier Bettel alioana na Gauthier Destenay (huyu ni mhandisi wa majengo kutoka ubelgiji)

3) Luxembourge ndio nchi inayotoa mishahara mikubwa zaidi katika nchi za ulaya ambapo mfanyakazi analipwa EUR 1,923 kama kima cha chini ambapo ukiibadilisha kwa hela ya tanzania ni sh milion 4 na laki 8 ....lakini asilimia kubwa ya raia wake hawaishi nchini mwao bali wanaishi katika nchi za jirani kama ufaransa, ubelgiji na ujerumani....hivyo karibia nusu ya wafanyakazi hutokea nchi hizo za ujreruman, ufaransa na ubelgiji

4) Nchi ya luxembourge ndio nchi tajiri namba 2 duniani

5) Luxembourge ndio nchi salama zaidi duniani

6) Luxembourge ni miongoni mwa nchi ndogo zaidi duniani na ndio nchi yenye wakazi wachache zaidi katika nchi za ulaya ....ambapo hadi kufikia 2015 kulikuwa na wakazi 563,000

7) asilimia 87 ya raia wa luxembourge ni wakatoliki
IJUE NCHI YA LUXEMBOURG 1. kuanzia tar 1/3/2020 luxembourge ndio itakuwa nchi ya kwanza ambayo haulipii nauli unapotaka kusafiri...yaan utapanda gari bure, treni bure.....ukumbuke asilimia 60 ya wakazi wa nchi hiyo wanamiliki magari...na asilimia 19 tu ya raia ndio wanatumia usafiri wa umma 2) Waziri mkuu wa Luxembourge ...ndio waziri mkuu wa kwanza kuoana na mwanaume mwenzie.......waziri mkuu huyo anaitwa Xavier Bettel alioana na Gauthier Destenay (huyu ni mhandisi wa majengo kutoka ubelgiji) 3) Luxembourge ndio nchi inayotoa mishahara mikubwa zaidi katika nchi za ulaya ambapo mfanyakazi analipwa EUR 1,923 kama kima cha chini ambapo ukiibadilisha kwa hela ya tanzania ni sh milion 4 na laki 8 ....lakini asilimia kubwa ya raia wake hawaishi nchini mwao bali wanaishi katika nchi za jirani kama ufaransa, ubelgiji na ujerumani....hivyo karibia nusu ya wafanyakazi hutokea nchi hizo za ujreruman, ufaransa na ubelgiji 4) Nchi ya luxembourge ndio nchi tajiri namba 2 duniani 5) Luxembourge ndio nchi salama zaidi duniani 6) Luxembourge ni miongoni mwa nchi ndogo zaidi duniani na ndio nchi yenye wakazi wachache zaidi katika nchi za ulaya ....ambapo hadi kufikia 2015 kulikuwa na wakazi 563,000 7) asilimia 87 ya raia wa luxembourge ni wakatoliki
·40 Просмотры