Upgrade to Pro

Mrs Feodol Vasslyev alizaliwa mwaka 1707 Shurya nchini Urusi. Ni mwanamke aliyeshika rekodi ya kuzaa watoto wengi zaidi duniani watoto 69 na ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia GUINNESS
Alizaa mapacha wawili Mara 16, watatu ×7 na wanne ×4

Mrs Feodol Vasslyev alizaliwa mwaka 1707 Shurya nchini Urusi. Ni mwanamke aliyeshika rekodi ya kuzaa watoto wengi zaidi duniani watoto 69 na ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia GUINNESS Alizaa mapacha wawili Mara 16, watatu ×7 na wanne ×4
·21 Ansichten