Upgrade to Pro

CHINGIS KHAN....

CHINGIS KHAN (hiki ni cheo na sio jina lake halisi) alikuwa kiongozi wa Wamongolia waliyounda Milki ya Wamongolia iliyoendelea kutawala eneo kubwa kuanzia China pamoja na Asia ya Kati hadi Urusi na Mashariki ya Kati.

Alizaliwa na kupewa jina la TEMUJIN kama mtoto wa chifu wa kabila la kimongolia. Wakati ule Wamongolia walikuwa wafugaji wahamiaji walioishi kaskazini ya nchi ya Mongolia. kulikuwepo na makabila mengi yaliyoendelea kupigana kwa vita. Temujin alishiriki katika vita vingi akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali. Tangu mwaka 1201 alikuwa na nguvu ya kutosha akashambulia mataifa ya jirani kama Watartari waliowahi kumuua baba yake na kuwashinda. Mwaka 1206 Temujin aliitisha mkutano wa viongozi wote wa Wamongolia nakukubaliana kumfanya kuwa kiongozi mkuu na kumpa cheo cha "Chingis Khan" yaani mtawala mkubwa

Mkutano huo uliazimia kuanzisha majimbo mbalimbali yaliyokuwa chini ya temujin.Alitawala kwa msaada wa mama yake,kakazake na watoto wake,alimteua mwanaye aliyekuwa mwandishi mzuri na kumkabidhi jukumu la kiandika sheria zote za utawala wake ikumbukwe kua sheria zote zilikuwa zikitungwa na TEMUJIN.

TEMUJIN aliendelea kuanzisha jeshi kwa kutangaza sheria kuwa kila Mmongolia alipaswa kuwa mwanajeshi. Alikua akiwazawadia askari wake mali zilizotekwa vitani toka kwa mateka.Baadae aliteua viongozi waliosimamia vikosi vya wanajeshi 1,000. Hapa hakuteua tena ndugu zake bali aliwachagua viongozi hao kulingana na uwezo na uaminifu.
Mwenyewe alikuwa na kikosi cha ulinzi wake wa wanajeshi wateule 10,000 hawa wote walifanya kazi ya kimlinda.

Temujin alipendwa sana wa watu wa jamii yake baada ya kufanikliwa kuunganisha makabila ya wamongolia bila kuwepo na vita.Kabla ya utawala wa Temujin zamali utawala ulikua ukiendeshwa na machifu ambapo kuunganishwa kwa makabila kulifanywa kwa njia ya vita yaani kabila linaloshindwa linakuwa chini ya washindi na pia litakubaliana na sheria za watawala wao hivyo ujio wa utawala wa temujini ulikiwa kama neema kwa wanajamii wa Wamongolia

CHINGIS KHAN.... CHINGIS KHAN (hiki ni cheo na sio jina lake halisi) alikuwa kiongozi wa Wamongolia waliyounda Milki ya Wamongolia iliyoendelea kutawala eneo kubwa kuanzia China pamoja na Asia ya Kati hadi Urusi na Mashariki ya Kati. Alizaliwa na kupewa jina la TEMUJIN kama mtoto wa chifu wa kabila la kimongolia. Wakati ule Wamongolia walikuwa wafugaji wahamiaji walioishi kaskazini ya nchi ya Mongolia. kulikuwepo na makabila mengi yaliyoendelea kupigana kwa vita. Temujin alishiriki katika vita vingi akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali. Tangu mwaka 1201 alikuwa na nguvu ya kutosha akashambulia mataifa ya jirani kama Watartari waliowahi kumuua baba yake na kuwashinda. Mwaka 1206 Temujin aliitisha mkutano wa viongozi wote wa Wamongolia nakukubaliana kumfanya kuwa kiongozi mkuu na kumpa cheo cha "Chingis Khan" yaani mtawala mkubwa Mkutano huo uliazimia kuanzisha majimbo mbalimbali yaliyokuwa chini ya temujin.Alitawala kwa msaada wa mama yake,kakazake na watoto wake,alimteua mwanaye aliyekuwa mwandishi mzuri na kumkabidhi jukumu la kiandika sheria zote za utawala wake ikumbukwe kua sheria zote zilikuwa zikitungwa na TEMUJIN. TEMUJIN aliendelea kuanzisha jeshi kwa kutangaza sheria kuwa kila Mmongolia alipaswa kuwa mwanajeshi. Alikua akiwazawadia askari wake mali zilizotekwa vitani toka kwa mateka.Baadae aliteua viongozi waliosimamia vikosi vya wanajeshi 1,000. Hapa hakuteua tena ndugu zake bali aliwachagua viongozi hao kulingana na uwezo na uaminifu. Mwenyewe alikuwa na kikosi cha ulinzi wake wa wanajeshi wateule 10,000 hawa wote walifanya kazi ya kimlinda. Temujin alipendwa sana wa watu wa jamii yake baada ya kufanikliwa kuunganisha makabila ya wamongolia bila kuwepo na vita.Kabla ya utawala wa Temujin zamali utawala ulikua ukiendeshwa na machifu ambapo kuunganishwa kwa makabila kulifanywa kwa njia ya vita yaani kabila linaloshindwa linakuwa chini ya washindi na pia litakubaliana na sheria za watawala wao hivyo ujio wa utawala wa temujini ulikiwa kama neema kwa wanajamii wa Wamongolia
Like
1
·54 Ansichten