Atualize para o Pro

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kumshikilia aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa ajili ya mahojiano ya baadhi ya mambo.

Kamanda Jumanne Muliro ambaye hakuweka wazi sababu za kumshikilia, amesema mahojiano yanakwenda vizuri, hivyo wanaangalia mifumo ya kisheria itakayowaelekeza nini cha kufanya.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kumshikilia aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa ajili ya mahojiano ya baadhi ya mambo. Kamanda Jumanne Muliro ambaye hakuweka wazi sababu za kumshikilia, amesema mahojiano yanakwenda vizuri, hivyo wanaangalia mifumo ya kisheria itakayowaelekeza nini cha kufanya.
Like
1
1 Comentários ·21 Visualizações