Upgrade to Pro

.CAF wametoa takwimu za timu ambazo zinacheza soka safi kwa kumiliki mpira zaidi msimu huu huku Yanga ikishika nagasi ya pili nyuma ya Mamelod Sundowns ambao ndio Vinara kwenye ligi ya Mabingwa Afrika.

Kwa upande wa kombe la Shirikisho Simba wanakamata nafasi ya nne huku nafasi ya kwanza ikienda kwa USM ALGER wenye umiliki wa asilimia 61.5%

YANGA BALL POSSESSION 58.3%
SIMBA BALL POSSESSION 54.8%
.CAF wametoa takwimu za timu ambazo zinacheza soka safi kwa kumiliki mpira zaidi msimu huu huku Yanga ikishika nagasi ya pili nyuma ya Mamelod Sundowns ambao ndio Vinara kwenye ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa kombe la Shirikisho Simba wanakamata nafasi ya nne huku nafasi ya kwanza ikienda kwa USM ALGER wenye umiliki wa asilimia 61.5% YANGA BALL POSSESSION 58.3% SIMBA BALL POSSESSION 54.8%
Love
Like
3
·53 Views