Chombo cha Habari cha Al Jazeera kimepigwa marufuku nchini DRC baada ya kufanya mahojiano na Bertrand Bisimwa, kiongozi wa kundi la waasi la M23 ambalo limechukua udhibiti katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
Vyombo vya Habari vimeripoti kuwa, Waziri wa sheria wa Congo ametoa tishio la adhabu ya kifo kwa waandishi wa habari na wengine wanaoripoti kuhusu waasi wa M23, ingawa hakuna sheria rasmi inayopiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuhusu makundi ya waasi.

·24 Просмотры