Watafiti wa maswala ya paranormal ability wamekuwa wakiuliza maswali haya. "Vipi kama hayo maisha unayo ishi sio maisha halisi ?, Vipi kama hapo ulipo upo kwenye coma/ umepoteza fahamu na haya yote unayo yafanya ,unayafanya katika hali ya ndoto?
Pengine zile sauti unazo ziskia muda mwingine zina kuita jina lako lakini ukijaribu kuangalia huoni mtu anae kuita, yawezekana ni kweli watu wana jaribu kukuamsha kwa kukuita katika maisha halisi kwasababu hapo upo kwenye coma.
Pia wanaamini ndio maana baadhi ya watu hawana kumbu kumbu ya maisha yao ya hapo kabla kwa ufasaha kwasababu hawapo katika maisha halisi.
Lakini hii sio kwa kila mtu wao wanaamini baadhi ya watu pengine wanapitia hali hiyo.
Lakini maswali yao yamekuwa yakipangwa na watu ...!!

Lakini maswali yao yamekuwa yakipangwa na watu ...!! ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
·30 Ansichten