ترقية الحساب

MFAHAMU KWA UFUPI

Anaitwa Martin Cooper, amezaliwa 26 Dec 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA. Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering.

Anafahamika kama baba wa simu za mkononi (founder of the handheld mobile phone).

Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973. Yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell.

Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa 2 kgms, chaji ilidumu kwa nusu SAA tu na kuichaji mpaka ijae ni masaa 12.

Bila yeye tusingekuwa na simu. Neno moja kwake.
MFAHAMU KWA UFUPI Anaitwa Martin Cooper, amezaliwa 26 Dec 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA. Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering. Anafahamika kama baba wa simu za mkononi (founder of the handheld mobile phone). Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973. Yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell. Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa 2 kgms, chaji ilidumu kwa nusu SAA tu na kuichaji mpaka ijae ni masaa 12. Bila yeye tusingekuwa na simu. Neno moja kwake.
·27 مشاهدة