Upgrade to Pro

UJUE MWAKA WA KIISLAMU .......

Kwa waislamu leo ni tar 15/2/1441

Mwaka wa kiislamu una siku 354 au 355 na una miezi 12....na miezi yao hutegemea kuandama kwa mwezi

Mwezi wa kiislam hujumuisha kati ya siku 29 au 30

Na siku ya kiislam huanza na kuisha baada ya jua kuzama...yaan jua linapozama ndio siku ya waislam huanza na jua linapozama ndio siku ya waislam huisha

Kwa wiki kuna siku 7..

Mwaka wa kiislam ulianza kuhesabiwa baada ya mtume Muhammad kufanya HIJJRA yaani kuhama kutoka mji aliozaliwa MAKA kwenda mji wa MADINA

yaan mtume muhamad alizaliwa MAKA na ndiko alipopewa utume ila kutokana na kutokubalika kwa maneno yake ndio akaamriwa kuhama kutoka MAKA kwenda mji wa MADINA na ndio hapo mwaka wa kiisalm ulipoanza kuhesabiwa hadi leo ni mwaka 1441

Haya ndio majina ya miezi ya kiislam

MUHARRAM - mwezi wa kwanza

SAFAR - mwezi wa pili

RABI- AL -AWWAL - mwezi wa tatu

RABI AL -THANI -mwezi wa 4

JUMADA AL-ULLA -mwezi wa 5

JUMADA AL AKHIRA- mwezi wa 6

RAJAB -mwezi wa 7

SHABAN- mwezi wa 8

RAMADHAN - mwezi wa 9

SHAWWAL - mwezi wa 10

ZULQIDDAH - mwezi wa 11

ZULHIJJAH - Mwezi wa 12
UJUE MWAKA WA KIISLAMU ....... Kwa waislamu leo ni tar 15/2/1441 Mwaka wa kiislamu una siku 354 au 355 na una miezi 12....na miezi yao hutegemea kuandama kwa mwezi Mwezi wa kiislam hujumuisha kati ya siku 29 au 30 Na siku ya kiislam huanza na kuisha baada ya jua kuzama...yaan jua linapozama ndio siku ya waislam huanza na jua linapozama ndio siku ya waislam huisha Kwa wiki kuna siku 7.. Mwaka wa kiislam ulianza kuhesabiwa baada ya mtume Muhammad kufanya HIJJRA yaani kuhama kutoka mji aliozaliwa MAKA kwenda mji wa MADINA yaan mtume muhamad alizaliwa MAKA na ndiko alipopewa utume ila kutokana na kutokubalika kwa maneno yake ndio akaamriwa kuhama kutoka MAKA kwenda mji wa MADINA na ndio hapo mwaka wa kiisalm ulipoanza kuhesabiwa hadi leo ni mwaka 1441 Haya ndio majina ya miezi ya kiislam MUHARRAM - mwezi wa kwanza SAFAR - mwezi wa pili RABI- AL -AWWAL - mwezi wa tatu RABI AL -THANI -mwezi wa 4 JUMADA AL-ULLA -mwezi wa 5 JUMADA AL AKHIRA- mwezi wa 6 RAJAB -mwezi wa 7 SHABAN- mwezi wa 8 RAMADHAN - mwezi wa 9 SHAWWAL - mwezi wa 10 ZULQIDDAH - mwezi wa 11 ZULHIJJAH - Mwezi wa 12
·14 Views